Kifo tata cha Mwanablogu

  • | Citizen TV
    1,720 views

    Maafisa wa polisi waliokuwa kazini wasimamishwa kazi Albert ojwang alifariki baada ya kukamatwa jana alikamatwa nyumbani kwao na maafisa wa usalama polisi wanadai alijigongwa kichwani ndani ya seli