Kiini cha jamii ya Wasamburu kuthamini tamaduni ya kuvaa shuka kama mavazi

  • | Citizen TV
    172 views

    Kando na jamii ya Wasamburu kufahamika kwa Ufugaji, Jamii hiyo inathamini sana tamaduni ya kuvaa shuka kama mavazi. Je,walitoa wapi tamaduni hiyo na ni Kwa nini?