Kijana aeleza alivyobadilisha maisha yake kujiepusha na uhalifu

  • | VOA Swahili
    142 views
    Maisha ya Evans yalikuwa ni ya hatari alipokuwa katika kundi la uhalifu lililokuwa linaogopewa na kutumia njia za kikatili kupata anachotaka. Alikuwa katika hali ya kuangamia katika mikono ya raia. Lakini sikiliza kisa chake na anaeleza ni kitu gani kilichomfanya kuacha mwenendo huo kutokana na ushawishi chanya wa kituo cha kuwarekebisha vijana wanaojihusisha na uhalifu. Endelea kusikiliza repoti maalum ya mwandishi wetu... #uhalifu #kundi #ukatili #raia #wizi #vijana #voa #voaswahili #dunianileo #Kenya #nairobi - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.