Skip to main content
Skip to main content

Kijana ajitia kitanzi baada ya kupoteza ksh.92,000 kwa Kamari

  • | Citizen TV
    14,164 views
    Duration: 2:09
    Familia moja katika Kaunti ya Uasin Gishu inaomboleza kifo cha kijana aliyedaiwa kujitoa uhai baada ya kupoteza zaidi ya shilingi 92,000 kupitia kamari, pesa ambazo zilikuwa zimewekwa kando kununua mbolea kuelekea msimu wa upanzi wa Aprili.