Kijana amuua babake kutokana na mzozo wa kuuza shamba Bumula

  • | West TV
    Kijana mmoja amemua babake kwa kumkatakata kwa panga baada ya kuzozana kutokana na mzee huyo kuuza kipande cha ardhi kwa minajili ya kugharamia shughuli za maziko ya mke wake