Kijana asiyeongea ashambulia na mnyama ambaye hajajulikana mtoni Kisii

  • | Citizen TV
    3,674 views

    Mwanamume wa makamu anaendelea kuTIBIWA baada ya kushambuliwa na mnyama asiyejulikana katika mto Mogonga ENEO LA OGEMBO KAUNTI YA KISII. Wakazi wa eneo hili sasa wakiwataka maafisa wa shirika la wanyama pori KWS kushughulikia swala hilo kwani maisha ya wenyeji wengi yamo hatarini.