Kijana mmoja aanzisha mradi wa kilimo cha sukuma wiki katika kaunti ya Meru

  • | Citizen TV
    566 views

    Kijana mmoja katika kijiji cha Nchigi kaunti ya Meru ameanzisha mradi wa kilimo kwa dhamira ya kuhakikisha kuwa kila familia katika kijiji hicho onajitegemea kwa chakula na mahitaji mengine. Aidha mradi huo pia unafaidi shule thelathini za umma katika eneo hilo kwa chakula.