Kijana wa miaka 18 afariki akisaidia kuokoa mali, Mathare

  • | Citizen TV
    2,767 views

    Idadi ya watu waliofariki kutokana na hatua ya serikali ya kuwahamisha kwa lazima imefikia watatu. Hii ni baada ya kijana wa miaka 18 aliyekuwa katika harakati za kusaidia kuokoa mali ya kanisa lililokuwa linavunjwa alipoangukiwa na vifusi vya jengo hilo mtaani mathare. Siku ya jumamosi watu wawili walipoteza maisha yao katika eneo la Mukuru kwa Reuben wakati wa zoezi hilo