Kijiji bila shule Turkana

  • | Citizen TV
    215 views

    Mapema mwaka huu muhula Wa kwamza runinga ya Citizen iliangazia masaibu ya Kijiji cha Kapoo ambacho hakina shule licha ya kuwa na watoto wengi waliofika umri wa kuenda Shuleni. miezi saba baadaye, mwalimu ambaye alikuwa amejitolea kuwafunza watoto bila malipo analalamika baada ya mti wa kipekee uliokuwa ukitumiwa kama darasa kuvunjwa na upepo na kuwaacha wanafunzi wakitatizika