Kijiji cha Dzombo kaunti ya Kwale chajivunia kuwa na chemichemi za maji moto

  • | Citizen TV
    424 views

    Katika eneo la Dzombo huko Lungalunga Kaunti ya Kwale kuna Kijiji kimoja kinachojivunia chemichemi za maji moto. Chemichemi hizo ni kivutio kwa wageni huku wenyeji wakiamini maji hayo yana manufaa sana kwa kutibu maradhi ya ngozi.