Kijiji kilichoathirika zaidi na UKIMWI kipindi hicho

  • | BBC Swahili
    928 views
    Wakati virusi vya UKIMWI vimeingia katika eneo la Afrika mashariki, familia nyingi ziliathirika pakubwa na nyingine kuishia kupoteza mpaka watu kumi na mmoja wakiwemo wazazi. Hali ilikuaje kipindi hicho? Mwandishi wa BBC @mcdavid_nkya_ amefika katika kijiji cha Bukwale kilichoathirika zaidi kipindi hicho ,kilichopo Misenyi Kagera Kaskazini Magharibi mwa Tanzania na kuandaa taarifa ifuatayo. 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #tanzania #HIV Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw