Kikao cha 54 cha kamati ya CODEX chafunguliwa Nairobi

  • | Citizen TV
    98 views

    Wizara ya uwekezaji, biashara na viwanda ikishirikiana na wizara ya kilimo na maendeleo ya mifugo imeandaa hafla ya ufunguzi wa kikao cha 54 cha kamati ya CODEX kuhusu usafi wa chakula, jijini Nairobi. Aidha juhudi hizi zinaonyesha umuhimu wa viwango vya usalama wa chakula kimataifa