Kikao cha kusikiza madai dhidi ya Gavana Kawira yaendelea katika seneti

  • | Citizen TV
    764 views

    Kikao Cha Bunge La Seneti Cha Kusikiza Madai Dhidi Ya Gavana Kawira Mwangaza Kimeendelea Leo. Leo Ilikuwa Zamu Ya Upande Wa Utetezi Kutoa Ushahidi Dhidi Ya Mashtaka Saba Yaliowasilishwa Na Bunge La Seneti Dhidi Ya Gavana Mwangaza. Mawikili Wa Pande Zote Wamepata Nafasi Ya Kuwahoji Mashahidi Katika Kikao Cha Leo.