Kikao cha kutoa hamasisho ya uongozi chaandaliwa katika jamii ya Maasai kuimarisha wanawake

  • | Citizen TV
    141 views

    Hamasisho imeendelea miongoni mwa mashirika katika jamii ya Maasai kuimarisha hadhi ya wanawake katika nafasi za uongozi. Wanawake sasa wakitakiwa kujitokeza kuwania nafasi za uongozi.