Kikosi cha Kenya cha riadha ya dunia chatajwa

  • | Citizen TV
    386 views

    Irene Kimais alitumia dakika 31 sekunde 52 nukta 20 kunyakua tiketi ya mbio za mita 10,000 na kujikatia tiketi ya kuwakilisha Kenya kwenye mashindano ya dunia kule Budapest Hungary. Naye mwanariadha Ferdinand Omanyala alitumia chini ya sekunde kumi kupata tiketi yake