Kikosi cha Kenya - Haiti chateka Bandani kubwa nchini humo

  • | Citizen TV
    7,459 views

    Kikosi cha Kenya nchini Haiti kimefanikiwa kuteka bandari yenye umuhimu mkubwa zaidi nchini humo baada ya makabiliano makali na magenge ya wahalifu.