Kikosi cha maafisa elfu-1 wa polisi wa Kenya chajiandaa kwenda Haiti

  • | KBC Video
    316 views

    Rais William Ruto ameunga mkono kubuniwa kwa kamati ya mpito ya Urais nchini Haiti. Jukumu la kamati hiyo ni kuteua uongozi mpya wa nchi hiyo kufuatia kujiuzulu kwa waziri mkuu Ariel Henry .Kiongozi wa taifa alisema ana imani kwamba uongozi mpya wa kisiasa wa nchi hiyo utaweka msingi imara wa kutafuta suluhisho kwa mzozo wa Haiti. Alisema Kenya inaiunga mkono Haiti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News