Kikosi cha timu ya raga ya kitaifa ya wanawake Kenya Lioness cha tajwa

  • | TV 47
    4 views

    Kocha mkuu wa timu ya taifa ya wachezaji 7 kila upande ya kinadada Dennis Mwanja, ametaja kikosi cha wachezaji 12 watakaowakilisha kenya katika mashindano ya kufuzu olimpiki ya mwaka wa 2024 nchini Tunisia. Kikosi hicho kitaongozwa na grace adhiambo kama naohodha huku judith auma akiteuliwa kama naibu wake.timu hiyo inatarajiwa kusafiri hadi nchini dubai kushiriki katika mashindano ya wxv3 yatakayoandaliwa kuanzia tarehe 13 hadi tarehe 28 mwezi huu. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kikosi hicho, mwanja alielezea imani yake kwa timu hiyo, akisema kuwa itasajili matokeo mazuri na kufuzu mashidano hayo ya olimpiki. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __