Skip to main content
Skip to main content

Kikuyu: Polisi na maafisa wa KWS wanasa nyama inayodaiwa kuwa ya pundamilia

  • | NTV Video
    1,992 views
    Duration: 2:35
    Maafisa wa polisi kutoka Gikambura, eneo bunge la Kikuyu, kwa ushirikiano na maafisa wa shirika la kulinda wanyamapori KWS, wamefanikiwa kunasa nyama inayodaiwa kuwa ya pundamilia katika boma lililokuwa limebadilishwa kuwa kichinjio haramu. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya