"Kila mama ana matumaini na mtoto wake akisoma"

  • | BBC Swahili
    478 views
    Ndoto ya mtoto anayekabiliwa na maradhi adimu nchini Tanzania, Ally Kimara huenda sasa itatimia kupitia mpango maalumu unaomuwezesha kupata elimu yake akiwa nyumbani kutokana na hali yake kushindwa kufika katika maeneo ya shule rasmi. Kuendelea na masomo yake Ally, ni kutokana na mpango wa serikali ulioanzishwa Mapema mwaka 2023 ili kuwawezesha watoto wenye mahitaji maalumu kuweza kupata fursa ya masomo. Pamoja na hali yake hiyo anasema iwe jua iwe mvua ni lazima aje kuwa Daktari siku za usoni. #bbcswahili #tanzania #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw