"Kila mkenya lazima akuwe na bima ya afya, tutalipia wale wenye hawana uwezo," President Ruto

  • | K24 Video
    29 views

    "Tumesema yule mtu ambaye hana uwezo wa kulipa mia tatu, tutakulipia kama serikali, ili kila mkenya awe na bima ya afya," President Ruto