29 Aug 2025 4:02 pm | Citizen TV 19,897 views Duration: 2:53 Kila mkenya mwenye uwezo wakulipa SHA, atalipa at 2.75%. Wakati wa NHIF nilikuwa na lipa ksh.1700, sahii kupitia mpango wetu wa SHA, ninalipa ksh.40,000 kila mwezi ~ President Ruto