Kilifi: Mabadiliko yafanywa katika msitu wa Kaya

  • | NTV Video
    640 views

    Huku dunia ikiadhimisha Siku ya Mazingira Duniani, katika msitu wa Kaya huko Chonyi, Kaunti ya Kilifi — msitu ambao hutumika katika shughuli mbalimbali za kitamaduni ikiwemo maombi ya kiasili ambayo yalithaminiwa sana na jamii — mabadiliko yanaanza kuchipuka.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya