Skip to main content
Skip to main content

| Kilimo biashara | Magonjwa ya mifugo yasalia vitisho Kajiado |

  • | Citizen TV
    157 views
    Duration: 2:59
    Magonjwa ya mifugo bado ni mojawapo ya vitisho vikubwa zaidi kwa riziki za wafugaji katika maeneo kame humu nchini. Katika Kaunti ya Kajiado, juhudi mpya zinazolenga kuimarisha huduma kwa mifugo na kushughulikia magonjwa zinaisaidia jamii kulinda mifugo wao na kuongeza uzalishaji.