Kilimo Biashara | Tunaangazia faida ya punda kaunti ya Homa Bay

  • | Citizen TV
    392 views

    Wakulima wadogo kutoka kaunti ya Homa Bay wameanza kujumuisha punda katika shughuli za kilimo ili kuimarisha mazao. Aidha mnyama huyu anatumika pakubwa katika uzalishaji wa mbolea zinazotumika kuendeleza kilimo hai katika eneo hilo.