| Kilimo Biashara | Ukuzaji wa chakula kwa plastiki bila kutumia mchanga

  • | Citizen TV
    396 views

    Je, umewahi kutamani kulima chakula kwa kutumia nafasi ndogo tu, plastiki, na bila hata kutumia mchanga ardhini? Naam, hilo ndilo anachofanya mkulima mmoja Kaunti ya Kitui. Daniel Karanja ni mpangaji ambaye ameanzisha kilimo kinachojulikana kama Sub-Zero Farming. Kilimo hiki kinachofanywa hasa katika maeneo ya mjini inahusisha kulimwa kwa mazao kwa kutumia ardhi, maji, na pembejeo kwa kiwango cha chini kabisa—lakini yakizalisha matokeo ya juu.