| Kilimo Biashara | Wakulima Machakos wageukia mbinu mbadala za kilimo

  • | Citizen TV
    324 views

    Wakulima katika kaunti ya Machakos sasa wamegeukia mbinu mbadala za kilimo ili kudhibiti athari za viwavi jeshi. Hatua hii ikijumuisha mbinu za kibayolojia, pamoja na ufuatiliaji sahihi wa mashamba.