| KILIMO BIASHARA | Wakulima Makueni wanatumia kilimo cha kina kirefu

  • | Citizen TV
    626 views

    Wakulima kutoka kaunti ya Makueni wameanza kukumbatia mbinu za kisasa za kilimo ambazo ni mwafaka kukabiliana na kero ya mabadiliko ya tabianchi. Mojawapo wa mbinu hizi ni mfumo wa kilimo cha kina kirefu. Denis Otieno anaangazia mbinu hiyo ya kilimo kwenye makala ya wiki hii ya Kilimo Biashara.