Kilimo cha kahawa Nyamira

  • | Citizen TV
    42 views

    Serikali ya kaunti ya Nyamira kwa ushirikiano na ile ya kitaifa kupitia chama cha ushirika cha New Kenya Planters Cooperative Union, imeanzisha mchakato wa kufufua kilimo cha kahawa katika kaunti hiyo