Kilimo Cha Matumaini Kufufua Maisha Marsabit

  • | Citizen TV
    267 views

    Kaunti ya Marsabit ni mojawapo ya maeneo yaliyo kwenye hatari kubwa ya kukumbwa na ukame nchini. Kwa miaka mingi, wakaazi wa kaunti hiyo, wametegemea ufugaji kama njia ya kujikimu kimaisha. Hata hivyo, kutokana na kuongezeka kwa visa vya ukame na mafuriko maeneo ya kaskazini, wakaazi wanatafuta mbinu mbadala za kujipatia riziki na ndiposa wengi haswa kina mama wamejitosa kwenye kilimo. Kaunti ya Marsabit ni mojawapo ya maeneo yaliyo kwenye hatari kubwa ya kukumbwa na ukame nchini. Kwa miaka mingi, wakaazi wa kaunti hiyo, wametegemea ufugaji kama njia ya kujikimu kimaisha. Hata hivyo, kutokana na kuongezeka kwa visa vya ukame na mafuriko maeneo ya kaskazini, wakaazi wanatafuta mbinu mbadala za kujipatia riziki na ndiposa wengi haswa kina mama wamejitosa kwenye kilimo.