Kilimo cha pilipili kimeshika kasi sehemu nyingi nchini

  • | Citizen TV
    639 views

    Kilimo cha pilipili kinazidi kupata umaarufu kwa kasi haswa humu nchini ambapo wakulima wadogo wamelivalia njuga. Ongezeko la mahitaji ya pilipili nchini na kimataifa limenogesha biashara hiyo ambayo sasa inajitokeza kama zao linalotegemewa pakubwa na wakulima kwa faida maradufu. Kwenye makala ya wiki hii ya kilimo biashara.