- 192 viewsDuration: 3:20Mabadiliko ya Hali ya Hewa Barani Afrika yamewafanya wabunifu kuweka juhudi zaidi kutafuta suluhu ya changamoto zinazoibuka katika sekta ya kilimo. Katika Mkutano wa Uwekezaji kwenye mbinu za kilimo kinachoweza kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa, wafadhili na wadau walijadili mbinu mbalimbali zikiwemo jinsi ya kukabiliana na taka za kikaboni na uzalishaji wa kisasa wa kahawa