- 6,194 viewsDuration: 3:44Familia moja huko Mombasa inalilia haki baada ya mpendwa wao kupigwa na umma hadi kufa katika eneo ya Marikiti. John Joshua Kalaghe mwanafunzi wa taasisi ya nita Mombasa aliuwawa baada ya genge la wahalifu kumwibia na kudai kuwa ndiye mwizi. Kulingana na walioshuhudia tukio hilo genge hilo limekuwa likiwaibia wakaazi hasa mtaani Old Town.