Kilio cha Wakimbizi; wanakabiliwa na hali ngumu Ramadhani

  • | VOA Swahili
    216 views
    Wakiwa wamekoseshwa makazi kutokana na mapigano katika mji wa Sake, ambapo majeshi ya DRC yanapambana na waasi wa M23 familia zimelazimika kukimbia makazi yao katika eneo karibu na Sake, Kivu Kaskazini. Familia hizi zinaendelea na mfungo wa Ramadhani katika kambi za muda za Wakimbizi. Kilio cha Wakimbizi ni hali inayowakabili ya uhaba wa chakula, ikiwa ni hali ngumu katika kipindi cha mwezi wa Ramadhani. Endelea kusikiliza uvumilivu wao na kilio chao... #goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili #sake #kivukaskazini #hospitali #kituochaafrika #daktarindoolemute #drc #goma #waislam #ramadhani #chakula