Kilio cha walimu wa JSS Mwingi

  • | Citizen TV
    257 views

    Walimu wa sekondari msingi huko Mwingi kaunti ya Kitui wamewasili viongozi wa kidini na kisiasa kuwatetea wapate ajira ya kudumu.