Kilio cha wanahabari | serikali yahimizwa kunusuru kampuni za utangazaji

  • | KBC Video
    56 views

    Wadau wa tasnia ya uandishi wa habari wanahimiza serikali ya kitaifa kuingilia kati ili kunusuru baadhi ya kampuni za utangazaji ambazo zinatekeleza mabadiiko kadhaa ili kujikinga na athari za msukosuko wa kifedha. Mabadiliko hayo yamesababisha wana-habari kadhaa kupoteza kazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #wanahabari #News