25 Aug 2025 11:26 am | Citizen TV 326 views Duration: 1:25 Zaidi ya kilo 800 za plastiki ziliokotwa katika fuo za bahari eneo la Nyali kaunti ya Mombasa katika hamasisho la utunzaji wa mazingira liliwavutia mamia ya wakaazi