Kimbunga cha moto chazuka Ureno.

  • | BBC Swahili
    90 views
    Tazama kimbunga hiki kidogo cha moto kama kilivyonaswa kwenye kamera nchini Ureno. Moto wa nyika uliokuwa ukiwaka huko Moimenta da Beira nchini Ureno sasa umedhibitiwa kwa kiasi kikubwa, lakini bado kuna milipuko mingine ya moto nchini humo inayowatia hofu wazima moto. Wakati huohuo, wimbi kali la joto la kihistoria linaendelea barani Ulaya na nchi kama Hispania, Ufaransa, Albania, Montenegro, na Uturuki pia zinapambana na milipuko ya moto kwa wakati mmoja. #bbcswahili #ureno #haliyahewa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw