Kimbunga chamvaa mtoto wa miaka 7

  • | BBC Swahili
    538 views
    Tazama namna mtoto alivyookolewa baada ya kimbunga kumvaa wakati akicheza baseball Mwamuzi mwenye umri wa miaka 17 alimuokoa mtoto huyo wa miaka saba huko Jacksonville, Florida wakati wa mchezo wa ligi. #bbcswahili #marekani #baseball #kimbunga