KIMEWARAMBA? Athari Za Baba Kuanguka AUC Zawafanya Washirika Wa Gachagua Mayatima

  • | TV 47
    1,823 views

    KIMEWARAMBA? Athari Za Baba Kuanguka AUC Zawafanya Washirika Wa Gachagua Mayatima

    Athari za anguko la Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga katika tume ya muungano wa afrika aliposhindwa kura ya uenyekiti inaendelea kutingiza siasa za hapa nchini baada ya nduguye Odinga na Seneta Wa Siaya Oburu Oginga pamoja na Catherine Mumma kuchaguliwa katika uongozi wa kamati za seneti.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __