kina mama Laikipia Kaskazini wahitimu ushonaji shanga

  • | Citizen TV
    249 views

    Ustadi wa shanga kina mama Laikipia Kaskazini wahitimu ushonaji shanga kina mama hao wawekeza ksh. 2m kwenye mradi wa shanga hatua hiyo itasaidia jamii zao kujiondoa kwenye umaskini