Kina mama na watoto wanaathirika zaidi na ukame

  • | KBC Video
    12 views

    Wakenya wanaoishi katika maeneo kame wanaendelea kutaabika kutokana na ukame,huku viongozi kutoka sehemu hizo wakisema kina mama na watoto ndio wanaathirika zaidi.Viongozi hao wanaonya kwamba huenda wanafuzi wengi wakaacha shule.Na sasa wanatoa wito kwa serikali kuongeza chakula cha msaada kwa maeneo hayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #hunger #drought