Skip to main content
Skip to main content

Kina mama na wazee 2000 kutoka Bahati, Nakuru warembeshwa

  • | Citizen TV
    197 views
    Duration: 2:43
    Zaidi ya kina mama na wazee 2000 kutoka eneo bunge la bahati kaunti ya nakuru walirembeshwa ambapo walitengezwa nywele na makucha mbali na kupokea matibabu ya bure. Aidha wito wa kuwasajili kwa bima ya afya ya sha pia ikitolewa katika hafla hiyo.