Kina mama wafanya matembezi ya kuhubiri amani Kajiado

  • | Citizen TV
    193 views

    Wanawake kutoka kaunti ya Kajiado wamefanya matembezi ya kueneza amani nchini. Wanawake hawa walielekeza kampeni yao ya amani kwa vituo vya polisi, shule na sehemu nyingine za umma.