Kina mama wahamasishwa kuhusu nafasi za uongozi katika kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    269 views

    Washikadau mbalimbali kaunti ya Kisii wameungana mjini humo kuzungumzia jinsi kina mama wanaweza kujibidiisha kutafuta nyadhifa za uongozi licha ya changamoto ya taasubi ya kiume eneo hilo.