Kina mama wanaojihusisha na uhifadhi wa mikoko na matumbawe wahamasishwa

  • | Citizen TV
    202 views

    Kina mama wanaojihusisha na uhifadhi wa mikoko na matumbawe wahamasishwa Kina mama hao wanapokea mafunzo kuhusu uchumi wa bahari

    Wanawake hao wanafunzwa kuhifadhi bahari ili kulinda viumbe vya baharini #Sema2022