18 Sep 2025 10:27 am | Citizen TV 96 views Duration: 1:51 Idara ya afya ya kaunti ya Garissa Imeanzisha mafunzo kwa kina mama wajawazito kwa lengo la kuwahimiza kuhudhuria kliniki katika vituo vya afya vilivyo karibu nao ili kupunguza vifo vya kina mama na watoto wanapojifungua.