Kinara wa Azimio amkosoa Rais Ruto na naibu wake

  • | Citizen TV
    5,577 views

    Naye kinara wa Azimio Raila Odinga amemtaka Rais William Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua kukoma kuzungumzia suala la kulipa ushuru akisema kuwa jukumu hilo limepewa halmashauri ya kukusanya ushuru nchini. Odinga pia akiwataka viongozi wa kenya kwanza kukoma kuivuta familia ya kenyatta kwenye mdahalo, akitaka waheshimiwe.