Kinara wa Azimio awataka waajiri kutolipa ushuru

  • | Citizen TV
    1,139 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga sasa anawataka waajiri kutolipa ushuru wa nyumba ya asilimia 1.5 kufuatia uamuzi wa mahakama uliobatilisha ada hii. Odinga akisema kuwa, uamuzi wa mahakama wa hapo jana uliafiki kuwa ushuru huu ni kinyume na katiba. Aidha, ameonya serikali ya Kenya kwanza dhidi ya kile anasema ni kuendeleza uvunjaji sheria