Kinara wa Azimio Raila Odinga aitaja serikali kuwa ya kiimla

  • | Citizen TV
    5,417 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga ametaja kama udikteta hatua ya rais William Ruto ya kuwasimamisha kazi makamishna wanne wa IEBC kufuatia mapendekezo ya bunge. Raila, ambaye likuwa kaunti ya Kilifi kwenye hafla ya kusherehekea kuchaguliwa kwa gavana Gideon Mung'aro amesema muungano wa Azimio hautampa nafasi rais Ruto kuendeleza dhuluma na ulipizaji kisasi